Displaying posts 1
to 10
of 216.
Asante ndugu! Pole kwa ukawa wangu, nimekuwa nikishughulika sana siku hizi
Mara nyingi nasoma hadithi za Mzee Biti Zaira Binti Swaleh Abdallah kama "kidudu kiwi", "sultani mjeuri" ama "watoto wa mapungupungu". Unaweza kusoma hadithi hizo katika "Hadithi za Kiswahili" kwa Pascal Bacuez

Ha ha asante, ndio mwaka mmoja tu. Najaribu kusoma hadithi za Kiswahili "as often as possible" (I don't know how to say that)
Hey Boss ! Nataka kusoma Kiswahili sababu lugha hii naipenda sana. Naanza kukijifunza mwaka uliopita kwa ajili ya "Siri ya Mtungi", show hiyo unaijuaje ? Nahitaji saada tu : )
Hujambo ! Naitwa Willy, ningetaka kusoma sema Kiswahili zaidi. Habari yako Man ? : )
:)
Please Sign In
or Join for Free
to view the rest of this profile.